Akeelah – Nipende Pende Lyrics

Akeelah – Nipende Pende Lyrics SHIRKO, Shirko Media Moyo wangu pale ukiungana na macho Nikikutazama wewe wengine sioni kitu Najiwazia wazia niwe mama kijacho Nizae na wewe wengine wasidhubutu Nawakataa wale wanaonikatia katia Niwe na wewe, mwanamume unayenijulia Nawe jiepushe na wale wa kuvamia vamia Ndio maana kwako nimetulia Basi nipende pende, ah wewe Unipe …

The post Akeelah – Nipende Pende Lyrics appeared first on Koti Lyrics.