Wakadinali – Mangana Manangos Lyrics

Wakali na Wakadinali

Wera nayo nayo ng’ang’ana
Pang’ang’a hapa kando
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos

Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Na si mama wa kwangu
Ni sister nyang’anya ako hustle

Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Wera nayo nayo ng’angana
Pang’ang’a hapa kando

Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Welcome to Eastlando
Venye tunamangana manangos
Woke up so early
Bado Malaya wangu ako kando
Na si mama wa kwangu
Ni sister nyang’anya ako hustle

Wasea nduli ni sisi, mtaani maskani ni deep
New school kids tuko fully equiped
Hii beat ni heavy plus hii shit ni crazy
Tunafaa tupitie super highway hii weekendi

Fans wanacry TRM,  Garden City, Natives
Si huletanga hits
Glow na Tshirt, british nevilla
Msee huwanga potential na biz
Ndio maana Munga hapa siwezi bagua adui
Sababu unaeza mkula tenje ndio ajue hajui