Harmonize – Yanga Lyrics

Harmonize – Yanga Lyrics Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshi Mtoto wa jangwani timu ya wananchi Yaani kati kati ya jiji la Dar Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar Africa Makombe ya kabatini Hawawezi kufika Mpira unapigwa chini magoli uhakika Yaani dakika tisini tumesha watundika Wanaona donge hao wanyonge (Wanaona donge hao wanyonge) …

The post Harmonize – Yanga Lyrics appeared first on Koti Lyrics.